Job 34:22-23


22 aHakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa,
ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha.

23 bMungu hana haja ya kumchunguza mtu sana,
ili apate kuja mbele zake kwa hukumu.
Copyright information for SwhKC